KENYA: Raila Odinga atangaza nia yake tena ya kujiapisha kama Rais

KENYA: Kiongozi wa Muungano wa Upinzani (NASA), Raila Amolo Odinga amesema kwamba, bado mpango wake wa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya upo palepale, na leo kamati ya maandalizi itatangaza siku ya kuapishwa kwake.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post