BREAKINGNEWS: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa SINGIDA apata ajali ya gari

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Singida amepata ajali ya gari akiwa pamoja na familia yake mchana huu... bado tunafuatilia undani wa habari hii kaa nasi pamoja.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post