Homekitaifa Breaking News: Ajali yauwa wawili asubuhi hii huko Pwani byAdmin -22 December 0 #HABARI Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika eneo la Mwidu mkoani Pwani na kupelekea barabara kutumika upande mmoja. Source: JamiiForums Tags kitaifa Facebook Twitter