Jose Mourinho sasa amethibitisha kuwa atawakosa kwa muda mrefu kidogo Romelu
Lukaku aliyeumia kwenye game ya leo dhidi ya Southampton na mshambuliaji wake Zlatan Ibrahimovic ambaye yupo majeruhi anasumbuliwa na goti, Mourinho baada ya game aliongelea kuhusu Lukaku.
Lukaku ametolewa nje dakika ya 14 baada ya kuumia kichwani na baada ya game Jose Mourinho aliongea na waandishi wa habari na kusema “Ukiona mchezaji anatolewa kama alivyotoka Lukaku basi ujue anaweza kukaa nje kwa walau mechi hata mbili”
Tags
Michezo