Nape aikosoa serikali ya Magufuli leo Bungeni

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amekosoa mpango wa serikali kukopa fedha ili kutekeleza miradi mikubwa km ujenzi wa reli ya kisasa na mradi wa kuzalisha umeme (Stiegler's Gorge) na kusema itaua uchumi
- Ashauri sekta binafsi ziruhusiwe kuendesha miradi hiyo
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post