TANZIA: Diwani Mariam Yusuph (CCM) amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea huko Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma
> Walikuwa wakielekea kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Soma https://t.co/vVFAtJA9x5
#JFLeo