Mwili waokotwa ukiwa umekatwa sehemu za siri Kenya

olisi jijini Nairobi nchini Kenya wanafanya uchunguzi juu ya tukio la kuuawa kwa mzee wa miaka 60 na mwili wake kutelekezwa barabarani,

Mwili huo ambao uligunduliwa leo asubuhi katika eneo la Riruta huku sehemu zake za siri kukutwa zikiwa zimekatwa.

Mwili huo wa marehemu ambao bado haujajulikana ni nani, umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti wakati uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo ukiendelea.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post