Madhara ya kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile

Nipende kuwahasa dada zangu wapendwa kuacha kuvaa cheni miguuni kwasababu unaweza kumvutia mwanaume anayependa ngono ya kinyume na maumbile, akakutongoza na ukamkubalia mkaenda faragha na akakulazimisha kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile kwasababu ndo lilikuwa hitaji lake kwako.
Ukifanyiwa hili tendo tayari umekuwa muhanga na utapenda ufanyiwe tena na tena kwasababu sperm zikiingia kwenye njia ya haja kubwa hukaa humo humo na kuozea humo ndani ya siku moja na zaidi na zinasababisha muasho kwenye njia ya haja kubwa na ili muasho utulie lazima ufanyiwe hivyo tena! Tatizo huendelea kukuwa na kukufanya ufanye hivyo kama sehemu ya maisha yako katika mahusiano ya kingono.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post