Arusha: Vifaranga elfu 64 wachomwa moto

ARUSHA: Wizara ya Mifugo kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama, imeviteketeza kwa moto vifaranga vya kuku wa kisasa 6,400 vyenye thamani ya Sh. milioni 12.

Vifaranga hivyo vinadaiwa kuingizwa nchini vikitokea Kenya kupitia mpaka wa Namanga kinyume cha sheria.

- Watu wamekuwa na maoni tofauti kuhusu hili, wewe una maoni gani?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post