RIPOTI YA MADINI! Kuna Vigogo wengine wametajwa kwenye Ripoti mpya
byAdmin-
0
September 6, 2017 Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa amekabidhiwa rasmi ripoti ya Kamati Maalum zilizoundwa na Bunge
kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi katika hafla
iliyofanyika viwanja vya Bunge Dodoma.