Mahakama kuu yafifiza marufuku ya Rais



MarekaniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMarufuku ya Rais yatenguliwa
Mahakama Kuu ya Marekani imezuia kwa muda sehemu ya maamuzi ya mahakama ya rufaa ambayo imefifiza marufuku iliyokuwa imewekwa na Rais Trump kwa watu kutoka nchi sita za Kiislamu.
Mahakama sasa itairuhusu serikali kuwaruhusu wakimbizi ambao watakuwa wametimiza vigezo vyote vya ukaazi kupitia kwa mawakala wenye dhamana ya makaazi
Mnamo mwezi wa kumi mwaka huu, mahakama kuu nchini humo itahitimisha mlolongo wa maswali ambayo hayakuwa na majibu juu endapo marufuku hiyo ina mrengo wa ubaguzi dhidi ya waisalamu na uislamu na ikiwa marufuku huchagua dhidi ya Waislamu kinyume na Katiba ya Marekani

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post