Everton wamekataa
dau la £25m kutoka kwa Chelsea kumununua Ross barkley , lakini kiungo
huyo wa kati wa Uingereza bado anaweza kuihama klabu hiyo kabla ya
kukamilika kwa dirisha la uhamisho siku ya alhamisi.
Ombi hilo la
Chelsea limedaiwa kuwa chini ya dau la £50m lililoitishwa na Everton na
kwamba hakuna uwezekano wa iwapo Chelsea wataongeza dau hilo kwa kuwa
mchezaji huyo amesalia na mwaka mmoja katika kandarasi yake.Mchezaji huyo amekataa kusaini kandarasi mpya na klabu yake ya utotoni.
Hali yake imetatizwa na jeraha baya ambalo linaweza kumweka nje kwa takriban miezi mitatu.
Chelsea wanatarajiwa kurejelea mazungumzo huku Tottenham ambao wamekuwa wakivutiwa na mchezaji huyo na wakitarajiwa kuanzisha majadiliano.
Everton pia inapima iwapo ic
Tags
Michezo