Kuna habari inayoenea katika mitanado ya Kijamii ya Whatsapp, hasa kuhusu Gonjwa jipya lisilojulikana na kuitwa jina la Mdudu mtu, ni baada tuu ya kidudu hicho kama kinavyoonekana katika picha hapo kuuwa baadhi ya watu katika baadhi ya maeneo hapa nchini, Tunashauriwa tunapoona vidudu vya aina hii(pichani) tuache kutumia kabisa chakula hicho ambachobkitakuwa na huyo mdudu kwani mpaka sasa bado hakijajulikana wala tiba yake bado haijulikani .
Tags
Afya