HomeMichezo Jamali Malinzi ashikiliwa na TAKUKURU byAdmin -28 June 0 Rais wa TFF anaeenda kumaliza muda wake mwaka huu Mh.Jamal Malinzi pamoja na Katibu wake wa TFF wanashikiliwa na Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ya PCCB kwa tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya ofisi yake. Tags Michezo Facebook Twitter